fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Tunawalaumu sana wanawake,kuhusiana na maisha baina ya mwanamke na mwanaume.Kila jambo baya likitokea basi ni mwanamke ndio kahusika.Tujitazame na sisi wanaume tunatenda haki?,Tupo sawa? hatna dosari?