fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hili si la kujumlisha kila kesi, inategemea na jambo lililoleta lawama au linalolaumiwa.Tunawalaumu sana wanawake,kuhusiana na maisha baina ya mwanamke na mwanaume.Kila jambo baya likitokea basi ni mwanamke ndio kahusika.Tujitazame na sisi wanaume tunatenda haki?,Tupo sawa? hatna dosari?
Kwako waona hivyo lakini wanaume wengi hutoa lawama kwa wanawake bika kuchunguza case by caseHili si la kujumlisha kila kesi, inategemea na jambo lililoleta lawama au linalolaumiwa.
Ambao hawachunguzi case bya case, nao wanakosea. Na ndiyo maana nikasema si kila lawama ni ya mwanamkeKwako waona hivyo lakini wanaume wengi hutoa lawama kwa wanawake bika kuchunguza case by case
Umechanganyikiwa au? Nyeupe unaita nyeusi. Lawama wanazopewa wanawake hazifiki hata 5% ya lawama wanawake wanazotupa. Baba zetu wangeamua kufunguka mabaya ya mama zetu tungeweza hata kuwapiga mawe mama zetu.Tunawalaumu sana wanawake,kuhusiana na maisha baina ya mwanamke na mwanaume.Kila jambo baya likitokea basi ni mwanamke ndio kahusika.Tujitazame na sisi wanaume tunatenda haki?,Tupo sawa? hatna dosari?