Hawa mafala hawapaswi kupongezwaNikitarajia kumwona samata akikomaa attendees mpaka var kapigwa mikwara kidogo sijui kaogopq nn na yuko nje na hatorudi kucheza tena
Yaan mtu alietakiwa kujilipua pale n samata hana cha kupoteza anyway
It's done
Amani
Kwanza
Mengine baadae
Pale wachezaji wote ambao hawana yellow card walitakiwa kwenda kumzonga refarii. Hakuna mchezaji hata mmoja aliepewa kadi ya njano kwenye tukio kama lile huo ni unyonge wa kixengeNikitarajia kumwona samata akikomaa attendees mpaka var kapigwa mikwara kidogo sijui kaogopq nn na yuko nje na hatorudi kucheza tena
Yaan mtu alietakiwa kujilipua pale n samata hana cha kupoteza anyway
It's done
Amani
Kwanza
Mengine baadae