Turbo - 3L

Turbo - 3L

Jongwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
1,040
Reaction score
662
Watalaam nina Prado box lina engine 3L ningependa kuweka turbo liwe na nguvu zaidi. Je ni nzuri au ndio naliloga? Naomba ushauri tafadhari
 
Wee acha hizo. Uza hiyo engine ununue engine za prado zenye turbo mf. 1KZ
 
Ushauri murua. Nunua 1KZ, control box yake (ECU) na bell housing. Gari yako ni manual Au automatic transmission ?
Asante kwa ushari mwanana, gari ni manual mtalaam. Roughly price ya 1Kz ni ngapi?
 
Asante kwa ushari mwanana, gari ni manual mtalaam. Roughly price ya 1Kz ni ngapi?
Nafikiri 3.5m maximum, control box 300k, na bell housing probably 200k. Hivi ndo vitu muhimu sana . Nilifanya conversion hiyo zamani sana. Hutajuta. Upo wapi?
 
Again, many thanks for your advice. Very useful information!
 
mkuu unaweza kufanya hivyo na maisha yakasonga kama kawaida garama za kununua engine nyingine ya 1KZ sijui control box na bell housing ni garama tupuu.

wabongo tunakuwa waoga mbona wenyewe wanafanya sana mambo hayo TUNING sema bongo mafundi tumelala sana.
 
Back
Top Bottom