Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Karibuni tuendelee na mijadala midogo midogo yenye lengo la kuchangamsha Fikra na kuongeza Upeo.Leo nataka tujadili namna ambavyo mtu anaweza kuongeza performance yake katika maisha ambapo nitatumia neno TURBOCHARGE kama ile hali ambayo mtu anakuwa na tuned for high performance. Kwa wale wataalam wa mifumo ya engine mnaelewa engine ambayo iko turbo charged inavofanya kazi. Inakuwa imeongezewa uwezo wa kufanya kazi/kufua kani inayoendesha gari. Leo tunajadili namna ya kutune maisha yako ili yawe na ufanisi zaidi.
Kwanza kabisa nitangulize kutoa angalizo dogo,SIMPLE and SMALL ACTION add up to PRODUCE large and better RESULTS.Mabadiliko madogo madogo ndio huzalisha mabadiliko Makubwa.Kinyume chake pia ni kweli, Makosa madogo madogo huzalisha makosa makubwa. Swali la kujiuliza Je, naanzaje kuleta mabadiliko madogo madogo katika maisha yangu ya kibinfsi na kibiashara?
Ukweli ni kwamba kila mabadiliko lazima yaanze na hatua na nia madhubuti.Kama ni Project unafanya lazima uamue utaanza na nini kdgo na utamaliza na nini.hatua kwa hatua mpaka ukamilishe.Hivyo ili kuleta mabadiliko katika jambo lolote lazima uanza na hatua ndogo ndogo za kutune maisha yako ili uweze kuongeza ufanisi.
Katika engine ya turbo hewa na mafuta huchanganyika kuleta mlipuko.Gari isipopata hewa ya kutosha inatoa moshi mchafu kwa sababu ya incomplete combustion.Vivyo hivyo maisha yako. Ukiona yanatoa moshi mwingi/Negative results na inneficiencies ni kwa sababu mafuta hayaungui vya kutosha.Baadhi ya vitu vnavyoathiria Ufanisi katika maisha yetu ni pamoja na matumizi mabaya ya rasilimali kama muda, pesa, watu n.k.
Ninaposema matumizi mabaya ya muda ni ile hali ya kutokufanya JAMBO sahihi,Kwa wakati Sahihi na Kwa Usahihi. Matumizi mabaya ya PESA ni pale ambapo unapotumia PESA bila kupata thamani ya PESA yako. Ninaposema kutumia watu vibaya ni Pale ambapo mahusiano yako na watu yanapokuwa sio WIN WIN bali ni LOSE LOSE au WIN LOSE.
Jiulize Ratiba yako ya siku ikoje?Unaamka wakati gani na kwa nini? Unalala wakati gani na kwa nini?Unafanya jambo gani wakti gani. Jiulize Pesa zako unazipataje na unazitumiaje na kwa nini?Jiulze aina ya watu unaoshughulika nao, unaoshirikiana nao wanafaidakaje na uwepo wake na wewe unafaidikaje na uwepo wao katika maisha.
Tafuta balance, k aa na watu ambao wana kitu ambacho unahitaji na kuna kitu ambacho wanahitaji kwani kufanya hvyo mtaongezeana thamani.
Tumia Pesa zako kwa ajili kuzalisha thamni,kupata thamani ya PESA yako na TUMIA muda wako kikamilifu.
Mabadiliko yote huanza kwa kubadilisha Patern ya Maisha yako.Kama unaona hali yako ya sasa haikupi ufanisi basi amua kuanza kubadili Patern ya Maisha kwa kubadili aina ya watu,maeneo,au mambo unayofanya hasa yale ambayo hayana tija.INAWEZEKANA anza kidogo kidogo utafanikiwa