Hiyo sehemu mimi sikuisikia, possibly mawazo yangu yalikuwa yamegawanyika wakati nasikiliza. Kuna ndugu zake walisafiri kwa boti na kutembea kwa miguu kwa siku nne wakiwa wanakuja kuonana naye baada ya kuwa amerudi mstuni; The Chamboggai; nadhani ukoo wao unatwa hivyo kama sikoseiSijaisikiliza ila nimeumia sana hasa hapo aliposema alikuwa anakaa wiki nne bila kula chochote.
Hata mm nimesikia hvy, inauma mno ๐๐Hiyo sehemu mimi sikuisikia, possibly mawazo yangu yalikuwa yamegawanyika wakati nasikiliza. Kuna ndugu zake walisafiri kwa boti na kutembea kwa miguu kwa siku nne wakiwa wanakuja kuonana naye baada ya kuwa amerudi mstuni; The Chamboggai; nadhani ukoo wao unatwa hivyo kama sikosei
Hehehe mฤทuu week nne ni siku 28 ujue. Hebu acheni kuamini ujinga kama huo.Sijaisikiliza ila nimeumia sana hasa hapo aliposema alikuwa anakaa wiki nne bila kula chochote.
Kwan hata nmesikiliza bc mkuu ๐๐Hehehe mฤทuu week nne ni siku 28 ujue. Hebu acheni kuamini ujinga kama huo.
Daah japokuwa sijaisikiliza lakini hii ndo imeniumiza zaidi, huyo jamaa itabidi apambane sanaNyingine hii hapa; ni maeneo ya huko huko kwenye nchi nyingine jirani na hiyo
Huyo anayesikika/kuonekana hapoJamaa yupi huyo ambaye inabidi apambane?