Turejee Eden

Elly official

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2018
Posts
730
Reaction score
989
Karibuni wote katika uzi huu. Hapa nitakuwa natuma matibabu mbalimbali (tibalishe) kila ijumaa mchana. Hivyo kama unasumbuliwa na mahonjwa usiyoyaelewa basi usisite kutembelea uzi huu kila upatapo nafasi.
 
Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)



Mahitaji

Vitunguu swaumu

Maji ya uvuguvugu


Jinsi ya Kutengeneza na kutumia

Menya vitunguu swaumu na uvitwange au kuvisaga hali vilainike

Changanya mchanganyiko wa vitunguu swaumu na maji ya uvuguvugu kwenye kijiko cha chai ili vilainike

Baada ya mchanganyiko huo kuwa tayari chota na uvimeze kama dawa za kawaida


Mambo ya kuzingatia

Kuwa makini kwani kuna baadhi ya watu wanaweza kutapika kwa kutumia mchanganyiko huu ila usiogope kwani baada ya dakika 15 ya kutumia hali ya kichefuchefu itapotea na kuwa kawaida. Unaweza ukaona matokeo ya dawa hii kuanzia siku moja ya matumizi na kuendelea

 
Elezea ratio ya hivyo vitu na dozi
 
Maji kidogo sana, na kama utaweza kumeza na maji ni vizuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…