Turkey Wins Bid to Finance, Build U.S.$1.9 Billion Second Phase of Tanzania Railway

Hehehe tell me you're joking?
 
Wametoa pesa zao, mtakuwa na jeuri ya kuwapa watu wengine hiyo tenda? Hayo makampuni mwingine kuyashindanisha ni kiini macho tu.
Kampuni ina experience ya zaidi ya miaka 50 na specification ziko wazi! Tanzania si Kenya hatuingii na kichwa wendawazimu.
 
Mturuki Vs Mchina?!!
Mturuki ana experience katika reli zaidi ya Mchina?!

Ok!! Tuendelee tu!!
 
Mturuki Vs Mchina?!!
Mturuki ana experience katika reli zaidi ya Mchina?!

Ok!! Tuendelee tu!!
Wacha upumbavu ingia website uone Yapi Merkezi wamefanya nn ikiwemo kujenga Eurotunnel! Peleka upumbavu wa uzembe wa kutokusoma na kujijulisha kuhusu kampuni hii! Unajua hata Wachina walipokuja kujenga TAZARA hawa Wakenya na mabwana zao West walikejeli sana! Sasa wanalipa twice the price za kejeli za 1960s kwa reli isiyotumia umeme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…