Msanii wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Diamond platnumz amepata dili kutoka shirika kubwa la ndege la Turkish airlines kuwa Kama main sponsor wa show yake ya European tour atayoifanya hivi karibuni.Kabla ya hapo diamond aliwahi kupata dili la Emirates airlines Mwaka 2018 pamoja na kutangaza utalii wa south Africa mwaka 2016.
Nampa pongezi za dhati kwake lakini pia wasanii wengine wajitaidi kujitangaza vizuri na wao wapate dili kubwa Kama hizi ili tuwe na wasanii wengi wenye mafanikio Kama Nigeria.
Nampa pongezi za dhati kwake lakini pia wasanii wengine wajitaidi kujitangaza vizuri na wao wapate dili kubwa Kama hizi ili tuwe na wasanii wengi wenye mafanikio Kama Nigeria.