TURN YOUR LIGHTS DOWN LOW: Nyimbo bora ya muda wote ya hisia Kali za mapenzi

Hii nyimbo imenisaidia kumpata binti nilie mpenda sana baada ya kumtongoza almost mwaka mzima
...
Hii nyimbo ni hatari, moja ya nyimbo yangu bora ya wakati wote
......
Highly recommended


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unamzungumziaje the late Gregory Isack... Fundi sana wa sweet reggae hasa kibao chake murua cha night nurse

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu wengi wasichokijua ni kwamba Lauryn Hill ni binamu yake kabisa na Bob Marley. Kitu kingine usichokijua ni kwamba hii ngoma mimi huwa naisiliza mara mbili tu kwa mwezi mzima. Sababu ni nyimbo ambayo naipenda sana na sitaki niichoke na kuizoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…