Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
Turubai
jipya la kuwekea kambi linauzwa kwa sh. 350,000/=. Ni kubwa lenye uwezo
wa kulaza watu 5. Linauzwa lenyewe pamoja na begi lake na vifaa vyake
vyote vya kulisimamishia.
Pia wanauzwa watoto wa Mbwa aina ya German Shephard,kila mmoja sh. Laki 1.5. Vyote viko Dar. Kwa Anaehitaji ani PM