Huwezi kuniaminisha kwamba jamii nzima yenye watu Bilioni 1 isiwe na mchango wowote ule kwenye maendeleo ya dunia tangu historia ianze kuandikwa kwenye vitabu. Nilisoma kitabu kimoja kinatwa OUR HISTORY:AFRIKANS FROM ANTIQUITY TO THE 21ST CENTURY cha Dr Gaid Faraj kuna mambo mengi kuhusu mtu mweusi yamefichwa.