Turudi kwenye mstari juu ya hali tete ya Mzee Philip Mangula

Kiongozi mkuu anapaswa kujitafakari mambo Haya ni aibu kwa Taifa.
Fikiria watu wanacomment kabisa kwamba " bora hii kura moja ipotee chapu before october".
Umoja wetu unayumba, upendo unatoweka,ushirikiano unazorota,huruma haipo taratibu tunu yetu amani nayo inakuwa kwenye hatihati kisa attitudes za mtu flani na wafuasi wake
 
Kama alianguka mara baada ya kikao na ikabainika kuwa alilishwa sumu, kwa akili ya kawaida, Wabaya wa Mzee Mangula walikuwa ndani ya jengo la Lumumba.
Acha kukariri,kuna sumu,inadhuru baada saa 24,siju 7 n.k
Waachie polisi wanajua kuliko wewe na maelekezo yako ya kutoto
 
Kupeana sumu ni moja ya disciplinary procedures za ccm,anzia kwa Kolimba na kuendelea you will agree with me
 
Jamani tuachage kuchokonoa mambo tusiyoyajua. Mzee Mangula si keshapata nafuu na nilidhani ametoka Hospitali, yuko nyumbani kwake anapumzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…