Turudi kwenye unyago au tuendelee na kitchen party?

Kitchen party asili yake wapi? Na kwa nini inaitwa kitchen party?
 
To tell you the truth, ni ngumu sana kupata mwanamke mwenye sifa za mke nowdays
 
Natamani niendelee kuwa bachela....... no string attached
 
Kumbe na wewe uko kama mimi tu.

mkuu hii kitu sijui hata role yake kwa hawa wenzetu ni nini na inasaidia nini sana sana kwa mwanamke anayeenda kuolewa
Maana kuna nyingine ni only one day au wiki moja kabla ya ndo asasa hapo mama anafundishwa nini
kama mtu alikuwa hajui kitu sidhani kama hiyo wiki ataweza jifunza hata kupika au kuosha vyombo
 
Nashindwa kabisa kuelewa hilo jina la "kitchen party" lilitokea wapi na wahusika wenyewe humu nao hata hawajui.
 
may be nafikiri waliona wasiseme ni unyago ila watoe neno lao na si unajua ni wanajifunza mambo ya ndani sasa kusema ni unyago sidhani kama itasound vyema
 
Nashindwa kabisa kuelewa hilo jina la "kitchen party" lilitokea wapi na wahusika wenyewe humu nao hata hawajui.

Sherehe ya jikoni...kufunzana mambo ya jikoni na kupeana vyombo vya jikoni.Then kwakunogesha wanaongeza usia kidogo na wengine hata mauno.

Hey nimefikiria tu hivyo msiniulize maswali kama vile mimi ndo nlikua mwanzilishi.
 
may be nafikiri waliona wasiseme ni unyago ila watoe neno lao na si unajua ni wanajifunza mambo ya ndani sasa kusema ni unyago sidhani kama itasound vyema

Inawezekana kabisa. Maana si unajua tena na sisi na kasumba zetu. Kitchen party lina sound more sophisticated (of course, perception-wise) kuliko unyago!!!
 
Sherehe ya jikoni...kufunzana mambo ya jikoni na kupeana vyombo vya jikoni.Then kwakunogesha wanaongeza usia kidogo na wengine hata mauno.

Hey nimefikiria tu hivyo msiniulize maswali kama vile mimi ndo nlikua mwanzilishi.

Heheheheee naona umejihami haraka kaa nini vile....umenichekesha!
 
Hiyo kwa vile ina jina la kiingereza nadhani asili yake itakuwa huko Magharibi

Sie waswahili tuna Singo

Nadhani labda itakuwa ni mangharibi na si magharibi nikujuako mimi lol.
 
Nadhani labda itakuwa ni mangharibi na si magharibi nikujuako mimi lol.

Wewe unakujua Magharibi ya wapi?

Manake kwa kiarabu ukisema Magharib kwa nchi maana yake ni nchi ya Morocco :]
 
Wewe unakujua Magharibi ya wapi?

Manake kwa kiarabu ukisema Magharib kwa nchi maana yake ni nchi ya Morocco :]

Katika muktadha wa mada uliposema magharibi mimi nikadhani unazungumzia nchi za ulaya magharibi na marekani ya kaskazini au nchi zilizoendelea ukipenda. Ulimaanisha hivyo?
 
Katika muktadha wa mada uliposema magharibi mimi nikadhani unazungumzia nchi za ulaya magharibi na marekani ya kaskazini au nchi zilizoendelea ukipenda. Ulimaanisha hivyo?

Hivyo hivyo eee

Waswahili asili yao wana Singo, sema halikolei maana ni kitendo kinachofanywa ndani ya nyumba na sio kwa mapicha na kuupura na kuonyeshana watu.

Pia waswahili wenye asili ya Uarabuni wana Hinnah, ambayo ni bi harusi kupakwa hinna. Hii inakaribiana na kitchen party though hakuna asili ya kujazana mazawadi na kucheza kimatusi kama inavyoonekana sasa kwenye vitchen party
 
Asante sana kwa jibu lako murua bin swadaktaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…