Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 324
- 649
,Simba na yanga ni pasua kichwa , aanzishe club yake Kama anapenda michezo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja wakusikiemnaoshabikia hizi timu 2 za kichawi (mbumbumbu fc & vyura fc).... wote ninyi ni mataahira!
Vya kwake anashindwa kuviendeleza,Kazi yake kubwa ni kudandia na kukopi vya wenzake,alianza na Singida United ikamshinda akaja Africa Lyon ikamshinda bila kusahau kukopi bidhaa za Azam,Simba na yanga ni pasua kichwa , aanzishe club yake Kama anapenda michezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti ya kujiuzulu na kurud madarakan kati ya alivyofanya Lipumba na Mo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alianzisha Africalyon akachemka shakhe,Simba na yanga ni pasua kichwa , aanzishe club yake Kama anapenda michezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana ilisemekana na ndivyo hadi leo inaminka kuwa MO alitekwa. Nimesema inasadikika kwa kuwa hadi leo watekaji hawakukamatwa na MO alirudishwa.
Jana Mo baada ya mechi ya Simba na Mtibwa kule Zanzibar aliandika twitter kuwa anachia nafasi ya uenyekiti kwenye bodi. Leo mida ya saa nne amesema ilikuwa bahati mbaya na ameamua kurudi kwenye nafasi yake ya uenyekiti. Watoto wa vijijini wanasema kujirudishia Uenyekiti ni kuji PROF LIPUMBA.
Ukiunganisha doti ni kuwa mwaka jana eti alitekwa na akarudishwa, mwaka huu kafungua mwaka kwa kuachia Uenyekiti na kujirudishia. Hebu tabiri mwaka kesho atakuja na nini kipya?
Manji hakuwahi kufanya sarakasi za Mo.Nimeanza kumuona Yusuph Manji ndani MO Dewji!
Alishakua na vilabu kama Singida United, African Lyon akashindwa akazikimbia ndio baadae akaibukia Simba.,Simba na yanga ni pasua kichwa , aanzishe club yake Kama anapenda michezo
Sent using Jamii Forums mobile app