Daini yakhe. Halafu tutaona jinsi gani nanyi mtakuwa mnailalamikia Serikali ya Jamhuri ya Muungano.Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia habari mbali mbali kutoka serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa jinsi mambo yanavyoendelea huko hatuna budi Tanzania bara tukaanza kudai serikali yetu ya Tanganyika kwa nguvu zote. Tutakuja juta mambo yakienda mrama. Hawa jamaa ni ma-selfish wakubwa wanapenda kuvuna wasipopanda lakini vya kwao wanavijengea ngome. Tuungane pamoja kudai taifa letu. Mungu bariki Tanganyika
Muungano ni kama ndoa ya kikristo haina talaka. Zanzibar ni mke katika ndoa hii analeta chochoko ili apate talaka. Dawa ni kumuadabisha na sio kurudia useja. Tanganyika haiwezi kurejewa na muungano utadumu licha ya kelele za mke as long as yuko kwenye ndoa ya lazima.
Mungu ibariki Tanzania.