Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Kuna wakati mtu unajiuliza sana, hivi sisi watanzania tuna matatizo gani?
Yaani kuvunjwa kwa Jiji la Dar es salaam ndiyo story kuliko hili janga ambalo linawamaliza ndugu zetu kila siku?
Wewe uliyeko Mbeya unafaidika nini na kuvunjwa kwa jiji la DSM mpaka ukasahau kujadili namna ya kukabiliana na hili janga baya linaoumiza umiza dunia na taifa?
Nafikiri turudi kujadili wimbi la pili la janga hili linaloitesa dunia na taifa, tupeane elimu namna ya kuchukua tahadhari maana hatuwezi kujadili dawa ambayo hatuiwezi. Tuacheni na mijadala rahi rahisi hii