donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1, mwananyamala
Kaka upo mkoa nn, mana hapa dar kila jambo unaloliona au kulisikia lazima utumie akiliAkili zitazotumika hapa Kama zingetumika kuwaza namna ya kujiongezea kipato
Ingekuwa poa sana
Kwahiyo ukiishi mkoa unakuwajeKaka upo mkoa nn, mana hapa dar kila jambo unaloliona au kulisikia lazima utumie akili
Ndomana upo tofauti na wengine😂😂😂 wenzio wamejaribu kujibu wewe unaleta makuzi😅Kwahiyo ukiishi mkoa unakuwaje
[emoji23][emoji23]
Anyway nipo Sumbawanga
4...Kimara1, mwananyamala
2,tabata
3,kigamboni
4.[emoji777]
5, ostabay
6, mtongani
7, temboni
8.[emoji777]
9,mapipa
10,mikochen
11, mnaz mmoja
12, manyanya
13, ilala
14, kisutu
15, fire
16,upanga
17,hananasifu
18.kawe
19, posta
20. Msasani
Nipeni mji[emoji4][emoji4][emoji4]