Pelham 1 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 548 Reaction score 99 Jan 12, 2014 #1 Natumai wote wazima wa afya' naombeni mnisadie kijua: 1. Aina za sabuni zilizopo sokoni (Miche, Maji, Dawa) 2. Sabuni zenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE 4. Aina ya mashine wanazotumia??
Natumai wote wazima wa afya' naombeni mnisadie kijua: 1. Aina za sabuni zilizopo sokoni (Miche, Maji, Dawa) 2. Sabuni zenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE 4. Aina ya mashine wanazotumia??