Hawa jamaa wanatudharau sana. Wakija huku wanapiga picha sehemu za ajabu halafu wanapeleka kwao. Dar es salaam sehemu gani iko hivyo, mbona hakuna hata alama ya stima?. hii lazima tuipigie kelele kimataifa ama sheria kali za upigwaji picha za maeneo ziwekwe kama kwa wenzetu Iran.