Tusaidiane juu ya kuapdate mikopo heslb..

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
647
Reaction score
72
kwa kaka na dada zangu ambao mmedumu chuo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa namanisha mwaka wa pili na kuendelea na ni wanufaikaji wa mikopo toka HESLB ninaomba ufafanuzi wenu japo kwa kina juu ya kuapdate mikopo kwani nimepata mkanganyiko juu ya suala hili baadhi ya watu wanasema hiyo system ya kuapdate mikopo haipo tena sasa sijui kipi ni kipi ndio maana nimejitokeza mbele ya hili jukwaa kupata ufafanuzi wenu..

*Ntashukuru kwa michango chanya na yenye uwekevu..

___________________________________

__________NAWASILISHA_________
 
mfumo huo haupo tena.. Bodi itaendlea kutoa mikopo kwa wanaonufaika kam kawaida... Ikiwa kuna ambae hataki kuendlea kupokea mkopo anatakiwa kuijulisha bodi. Kwa maelezo zaid tembelea website yao.
 
Bwana mdogo Erick zeph Stanley habari za Mwanza,
Kwa mwaka huu hamna kuupdate mkopo baadala chuo kitatuma matokeo ya wanufaika wote HESLB ila kama hutaki unaweza kusitisha.
 
Last edited by a moderator:
kwa kaka na dada zangu ambao mmedumu chuo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa namanisha mwaka wa pili na kuendelea na ni wanufaikaji wa mikopo toka heslb ninaomba ufafanuzi wenu japo kwa kina juu ya kuapdate mikopo kwani nimepata mkanganyiko juu ya suala hili baadhi ya watu wanasema hiyo system ya kuapdate mikopo haipo tena sasa sijui kipi ni kipi ndio maana nimejitokeza mbele ya hili jukwaa kupata ufafanuzi wenu..

*ntashukuru kwa michango chanya na yenye uwekevu..

___________________________________

__________nawasilisha_________

hakun hayo mambo.watu sijuiwameyatoa wapi...bodi itaendelea kutoa mkopokwa kutumia mean test result ya mara yakwanza tu
 
bwana mdogo erick zeph stanley habari za mwanza,
kwa mwaka huu hamna kuupdate mkopo baadala chuo kitatuma matokeo ya wanufaika wote heslb ila kama hutaki unaweza kusitisha.

na ni hata waliopo mwaka wa pili hawakuapdte.chuo ndo kitapeleka matokeo.iii kuhakiki kama mwanafunz hajadiasco
 
Last edited by a moderator:
mfumo huo haupo tena.. Bodi itaendlea kutoa mikopo kwa wanaonufaika kam kawaida... Ikiwa kuna ambae hataki kuendlea kupokea mkopo anatakiwa kuijulisha bodi. Kwa maelezo zaid tembelea website yao.

akhsanteh sana kwa kunifumbua macho kaka mkubwa
 
Bwana mdogo Erick zeph Stanley habari za Mwanza,
Kwa mwaka huu hamna kuupdate mkopo baadala chuo kitatuma matokeo ya wanufaika wote HESLB ila kama hutaki unaweza kusitisha.

mkuu Molembe za mwanza nzuri kabsa namshukuru mwenyezi Mungu... Akhsanteh sana kwa kutenga mda wako ili kunielewesha juu ya jambo hili.
 
Mwaka huu hakuna cha kuapudate wala nini. Jambo la muhimu ni kupiga book ili usi-disco. Pia nashauri usome Guide yao ya 2014/2015 Kipengere cha 3.4.
 
Back
Top Bottom