Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
kwa kaka na dada zangu ambao mmedumu chuo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa namanisha mwaka wa pili na kuendelea na ni wanufaikaji wa mikopo toka HESLB ninaomba ufafanuzi wenu japo kwa kina juu ya kuapdate mikopo kwani nimepata mkanganyiko juu ya suala hili baadhi ya watu wanasema hiyo system ya kuapdate mikopo haipo tena sasa sijui kipi ni kipi ndio maana nimejitokeza mbele ya hili jukwaa kupata ufafanuzi wenu..
*Ntashukuru kwa michango chanya na yenye uwekevu..
___________________________________
__________NAWASILISHA_________
kwa kaka na dada zangu ambao mmedumu chuo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa namanisha mwaka wa pili na kuendelea na ni wanufaikaji wa mikopo toka heslb ninaomba ufafanuzi wenu japo kwa kina juu ya kuapdate mikopo kwani nimepata mkanganyiko juu ya suala hili baadhi ya watu wanasema hiyo system ya kuapdate mikopo haipo tena sasa sijui kipi ni kipi ndio maana nimejitokeza mbele ya hili jukwaa kupata ufafanuzi wenu..
*ntashukuru kwa michango chanya na yenye uwekevu..
___________________________________
__________nawasilisha_________
bwana mdogo erick zeph stanley habari za mwanza,
kwa mwaka huu hamna kuupdate mkopo baadala chuo kitatuma matokeo ya wanufaika wote heslb ila kama hutaki unaweza kusitisha.
mfumo huo haupo tena.. Bodi itaendlea kutoa mikopo kwa wanaonufaika kam kawaida... Ikiwa kuna ambae hataki kuendlea kupokea mkopo anatakiwa kuijulisha bodi. Kwa maelezo zaid tembelea website yao.
Bwana mdogo Erick zeph Stanley habari za Mwanza,
Kwa mwaka huu hamna kuupdate mkopo baadala chuo kitatuma matokeo ya wanufaika wote HESLB ila kama hutaki unaweza kusitisha.
Bwana mdogo Erick zeph Stanley habari za Mwanza,
Kwa mwaka huu hamna kuupdate mkopo baadala chuo kitatuma matokeo ya wanufaika wote HESLB ila kama hutaki unaweza kusitisha.
hakun hayo mambo.watu sijuiwameyatoa wapi...bodi itaendelea kutoa mkopokwa kutumia mean test result ya mara yakwanza tu
Mwaka huu hakuna cha kuapudate wala nini. Jambo la muhimu ni kupiga book ili usi-disco. Pia nashauri usome Guide yao ya 2014/2015 Kipengere cha 3.4.