Tusaidiane kuhusu virtual sport

Hahaha keno Na virtual Ni kwa watoto Na wakamaria watoto....weka 5000 nenda sport betting weka NG SITA SUBIRI HELA YAKO
 
Ok...vipi sasa mechi mbili za kwanza kuwa gg? Frequency yake ikoje?
 
Kwa Spain na Italy match mbili za kwanza zina tick sana ila kwa England mara nyingi zinakuwa ni Arsenal na Ast kwahiyo zinatoa NG.
Ok kwa hiyo kwa spain na italy ndio mbili za kwanza zinatoa sana?
Mie nataka kujua rate yake ...yaani katika msimu mzima zinatoa on average ngapi?
Na utafiti wako umeufanya kwa misimu mimgapi kwa hiyo virtual league
 
Nimefanya tafiti mbali mbali tofauti tofauti ila hii ndiyo ya uhakika angalia season inayoendelea muda huu 1957 inavyo toa btts timu tano za mwanzo. Kuhusu takwim zaidi njoo pm.


Mkuu hii hapa season ya 1956 game ya 38 kama vile sio zote ni GG au kuna kitu sijaelewa
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…