Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Nilijua wanamchukua okwi kama kocha kumbe anasajiriwa kuwa mchezaji.Kwa umri wa zigo sasa hivi wamuandalie tu ugoro
Mbavu zangu weeeeeee!Nilijua wanamchukua okwi kama kocha kumbe anasajiriwa kuwa mchezaji.
wapi ajibKwa kikosi hiki.. TFF na CAF, tupatieni makombe yetu mapema.
Hatari sana mkuu wangu,sijui watapitia wapiKwa kikosi hiki.. TFF na CAF, tupatieni makombe yetu mapema.
Mkuu tena wambien hao tff watukabidhi Kombe mapema kabisa...maana kwa kikosi chetu...kuna dalili tutawadhalilisha vyura fc kwa magoli mengi sana...Kwa kikosi hiki.. TFF na CAF, tupatieni makombe yetu mapema.