Jamani kwa hili naomba wanao jua sheria wa tusaidie. Kwa mfano by law iliyo anzishwa na chuo cha cbe kama inapingana na katiba ya nchi au haki za binadamu! Au pengine ni sawa kulingana na haki. Me mwenyewe nimeipenda sana hiyo by law! Naomba tusaidiane wana sheria kuna ubishi huku,kuwa uongozi wa cbe unawezwa kubuluzwa mahakamani kwa hili.
Naomba tusaidiane wana sheria kuna ubishi huku,kuwa uongozi wa cbe unawezwa kubuluzwa mahakamani kwa hili.
Wengine hatujui unaongelea nini.Kuna nini BCE?