Elections 2010 Tusaidiane kwenye mikoa hii kabla ya uchaguzi.....

Elections 2010 Tusaidiane kwenye mikoa hii kabla ya uchaguzi.....

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
hivi kwanini mikoa inayoikumbatia ccm hapa tz ni masikini ya kutupwa?mimi ninayoijua ni singida,lindi,mtwara na tabora,jf plz,ni serious ishu haswa tunapoelekea kwenye uchaguzi,tuisaidie wafanye maamuzi sahihi
 
Uchaguzi huu itakushangaza hiyo mikoa................ingawaje umasikini ndiyo nondo ya CCM kubaki madarakani
 
twapaswa kuwafikishia ujumbe kwa namna yoyote ile ili hizi harakati za kuelekea uhuru wa kweli ziwe nchi nzima,pamoja tutashinda
 
Mtaji wa ushindi wa CCM ni ujinga na umaskini wa waTZ. Wanasema tunaongoza kwa ridhaa ya wajinga wengi.
 
Back
Top Bottom