U urasa JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 434 Reaction score 2 Oct 24, 2010 #1 hivi kwanini mikoa inayoikumbatia ccm hapa tz ni masikini ya kutupwa?mimi ninayoijua ni singida,lindi,mtwara na tabora,jf plz,ni serious ishu haswa tunapoelekea kwenye uchaguzi,tuisaidie wafanye maamuzi sahihi
hivi kwanini mikoa inayoikumbatia ccm hapa tz ni masikini ya kutupwa?mimi ninayoijua ni singida,lindi,mtwara na tabora,jf plz,ni serious ishu haswa tunapoelekea kwenye uchaguzi,tuisaidie wafanye maamuzi sahihi
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Oct 24, 2010 #2 Uchaguzi huu itakushangaza hiyo mikoa................ingawaje umasikini ndiyo nondo ya CCM kubaki madarakani
Uchaguzi huu itakushangaza hiyo mikoa................ingawaje umasikini ndiyo nondo ya CCM kubaki madarakani
U urasa JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 434 Reaction score 2 Oct 24, 2010 Thread starter #3 twapaswa kuwafikishia ujumbe kwa namna yoyote ile ili hizi harakati za kuelekea uhuru wa kweli ziwe nchi nzima,pamoja tutashinda
twapaswa kuwafikishia ujumbe kwa namna yoyote ile ili hizi harakati za kuelekea uhuru wa kweli ziwe nchi nzima,pamoja tutashinda
tzjamani JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 995 Reaction score 31 Oct 24, 2010 #4 Mtaji wa ushindi wa CCM ni ujinga na umaskini wa waTZ. Wanasema tunaongoza kwa ridhaa ya wajinga wengi.
Mtaji wa ushindi wa CCM ni ujinga na umaskini wa waTZ. Wanasema tunaongoza kwa ridhaa ya wajinga wengi.