Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 722
- 1,030
Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi, poleni kwa Majukumu ya siku nzima. Natumaini mko mnaendelea vyema kabisa.
Niende kwenye maada, Mimi ni mjasiriamali na kwa Taaluma nimesomea masuala ya Afya ila bado sijapata ajira rasimi(Cheque No). Kwahiyo harakati zangu nyingi zimekua ni kwenye biashara. Nina miezi kama sita hivi, Nimejitahidi sana kuukuza mtaji lakini haukui.
Kila kukicha ni kuaminiwa mzigo wa matajiri (Wholesalers) lakini sioni nikipiga step. Hivyo nimewqza nikajikuta naona nibora niwashirikishe nijue ni namna gani naweza kuachana na kuwa kudunduliza. Eneo nililopo mzunguko wa Biashara upo sana ila mtaji wangu ni mdogo sana.
Nilijaribu kuongea na afisa mikopo wa Bank X alichonijibu kilikatisha tamaa, kwa ufupi kukuamini kama hauko kwenye mfumo rasimi unapaswa uwe na Nyumba uiweke dhamana na hapa nina kiwanja tu [emoji22]. Hebu tusaidiane jamaa zangu mnawezaje kukuza mitaji.
Naomba tusaidiane mawazo. Najikuta nachemsha kichwa lakini ukweli ni kwamba kuchemsha kichwa hakunipi hela. [emoji22].Au kama kuna mashirika yanayoamini watu na kuwakopesha watu kwa masharti nafuu tuambizane. Natanguliza shukrani