Natumai mu wazima ndugu wana jamvi na mnaendelea kutafakari bajeti ya kwanza ya mh. SAADA MKUYA!
Pamoja na hayo naomba kufahamu hili jambo kama kweli kuna uwezekano wowote kwa mama kumnyonyesha mwanae hadi zaidi ya mwaka mmoja ikiwa ameshaathirika na ukimwi!
Je, kuna ushauri wanaopewa na wataalam au kuna dawa wanazopewa za kuwalinda watoto au hakuna uwezekano wowote wa jambo hilo na kama ikitokea mtoto huwa na hali gani!?
Naomba kuwasilisha.