Tafuta lak 5 anzsha biashara ya kukopesha wajasiriamal apo kwenye soko la mtaan kwenu mkopo anzia 50000 mpka 100000 na marejesho ni ya kila sku.. asume 50000 waje watu 10 tu apo lak 5 imeondoka wafanyie fom zao 3000 tu usitake pesa nying kwa hao watu 10 kwa fom tu utakua umetengeneza 30000 ambayo unaweza kopesha mteja mwngne na rba wafanyie chip tu kua 20% au 15 yan kama akichukua 50000 irud 65000 ndan ya siku 26 inamana kila sku anarudisha 2500 fanya 2500 x10 kwa sku utakua umelaza 25000 ambayo imerud sku moja baada ya kutoa hela kwa mtu kwaio ndan ya sku izo 26 utakua umetengeneza 65000 x 10 =650000 weka na zle ela za fom 30000 itakua 680000 na ukumbuke kila baada ya sku moja ukikusanya ayo marejesho ya 25000 na kesho 25000 unapata 50000 ambayo unaweza kopesha tena mtu mwngne kwaio ukajkuta ndan ya mwez umeanza na 500000 lakn umefkisha ml 1.kdhaa kikubwa kua na roho ngum na uchungu na pesa yako usifanye matumiz ya hovyo utapga pesa kwa haraka sana hata kama huna ka ofic uko chin ya mti na ka daftar kako utatafutwa na wajasiriamal kokote utakapo kua