Thegreatseeker
JF-Expert Member
- Apr 21, 2022
- 206
- 484
Hiyo njia ya kusaka hela sasaTafuta hela! Hilo tu
Tafuta lak 5 anzsha biashara ya kukopesha wajasiriamal apo kwenye soko la mtaan kwenu mkopo anzia 50000 mpka 100000 na marejesho ni ya kila sku.. asume 50000 waje watu 10 tu apo lak 5 imeondoka wafanyie fom zao 3000 tu usitake pesa nying kwa hao watu 10 kwa fom tu utakua umetengeneza 30000 ambayo unaweza kopesha mteja mwngne na rba wafanyie chip tu kua 20% au 15 yan kama akichukua 50000 irud 65000 ndan ya siku 26 inamana kila sku anarudisha 2500 fanya 2500 x10 kwa sku utakua umelaza 25000 ambayo imerud sku moja baada ya kutoa hela kwa mtu kwaio ndan ya sku izo 26 utakua umetengeneza 65000 x 10 =650000 weka na zle ela za fom 30000 itakua 680000 na ukumbuke kila baada ya sku moja ukikusanya ayo marejesho ya 25000 na kesho 25000 unapata 50000 ambayo unaweza kopesha tena mtu mwngne kwaio ukajkuta ndan ya mwez umeanza na 500000 lakn umefkisha ml 1.kdhaa kikubwa kua na roho ngum na uchungu na pesa yako usifanye matumiz ya hovyo utapga pesa kwa haraka sana hata kama huna ka ofic uko chin ya mti na ka daftar kako utatafutwa na wajasiriamal kokote utakapo kua
Kama ujawah kufanya usiseme haiweZekan na kama n ngum kwako wenzio ndio wanateleza nayoSio rahisi kiasi hicho
Kweli mkuu "mbeba lawama" huku mtaani hvo vijiofisi vya kukopesha wajasiliamali ni vingi , pia ukitaka ufanikiwe ktk jambo rahisi utasubiri sna sna Ila ukiwaza kitu chenye ugumu ,mafanikio yake huwa babkubwa , sisi wengine wa vaa cobayzyKama ujawah kufanya usiseme haiweZekan na kama n ngum kwako wenzio ndio wanateleza nayo
Wazo zuriTafuta lak 5 anzsha biashara ya kukopesha wajasiriamal apo kwenye soko la mtaan kwenu mkopo anzia 50000 mpka 100000 na marejesho ni ya kila sku.. asume 50000 waje watu 10 tu apo lak 5 imeondoka wafanyie fom zao 3000 tu usitake pesa nying kwa hao watu 10 kwa fom tu utakua umetengeneza 30000 ambayo unaweza kopesha mteja mwngne na rba wafanyie chip tu kua 20% au 15 yan kama akichukua 50000 irud 65000 ndan ya siku 26 inamana kila sku anarudisha 2500 fanya 2500 x10 kwa sku utakua umelaza 25000 ambayo imerud sku moja baada ya kutoa hela kwa mtu kwaio ndan ya sku izo 26 utakua umetengeneza 65000 x 10 =650000 weka na zle ela za fom 30000 itakua 680000 na ukumbuke kila baada ya sku moja ukikusanya ayo marejesho ya 25000 na kesho 25000 unapata 50000 ambayo unaweza kopesha tena mtu mwngne kwaio ukajkuta ndan ya mwez umeanza na 500000 lakn umefkisha ml 1.kdhaa kikubwa kua na roho ngum na uchungu na pesa yako usifanye matumiz ya hovyo utapga pesa kwa haraka sana hata kama huna ka ofic uko chin ya mti na ka daftar kako utatafutwa na wajasiriamal kokote utakapo kua
Ni busness inayohitajii, mtu awe na roho mbaya, ukiwa na huruma tayarii umekwisha, ubabe pia unahitajiiTafuta lak 5 anzsha biashara ya kukopesha wajasiriamal apo kwenye soko la mtaan kwenu mkopo anzia 50000 mpka 100000 na marejesho ni ya kila sku.. asume 50000 waje watu 10 tu apo lak 5 imeondoka wafanyie fom zao 3000 tu usitake pesa nying kwa hao watu 10 kwa fom tu utakua umetengeneza 30000 ambayo unaweza kopesha mteja mwngne na rba wafanyie chip tu kua 20% au 15 yan kama akichukua 50000 irud 65000 ndan ya siku 26 inamana kila sku anarudisha 2500 fanya 2500 x10 kwa sku utakua umelaza 25000 ambayo imerud sku moja baada ya kutoa hela kwa mtu kwaio ndan ya sku izo 26 utakua umetengeneza 65000 x 10 =650000 weka na zle ela za fom 30000 itakua 680000 na ukumbuke kila baada ya sku moja ukikusanya ayo marejesho ya 25000 na kesho 25000 unapata 50000 ambayo unaweza kopesha tena mtu mwngne kwaio ukajkuta ndan ya mwez umeanza na 500000 lakn umefkisha ml 1.kdhaa kikubwa kua na roho ngum na uchungu na pesa yako usifanye matumiz ya hovyo utapga pesa kwa haraka sana hata kama huna ka ofic uko chin ya mti na ka daftar kako utatafutwa na wajasiriamal kokote utakapo kua
Eti kwan haitaji kibari chochote kutoka kwa serikali?Tafuta lak 5 anzsha biashara ya kukopesha wajasiriamal apo kwenye soko la mtaan kwenu mkopo anzia 50000 mpka 100000 na marejesho ni ya kila sku.. asume 50000 waje watu 10 tu apo lak 5 imeondoka wafanyie fom zao 3000 tu usitake pesa nying kwa hao watu 10 kwa fom tu utakua umetengeneza 30000 ambayo unaweza kopesha mteja mwngne na rba wafanyie chip tu kua 20% au 15 yan kama akichukua 50000 irud 65000 ndan ya siku 26 inamana kila sku anarudisha 2500 fanya 2500 x10 kwa sku utakua umelaza 25000 ambayo imerud sku moja baada ya kutoa hela kwa mtu kwaio ndan ya sku izo 26 utakua umetengeneza 65000 x 10 =650000 weka na zle ela za fom 30000 itakua 680000 na ukumbuke kila baada ya sku moja ukikusanya ayo marejesho ya 25000 na kesho 25000 unapata 50000 ambayo unaweza kopesha tena mtu mwngne kwaio ukajkuta ndan ya mwez umeanza na 500000 lakn umefkisha ml 1.kdhaa kikubwa kua na roho ngum na uchungu na pesa yako usifanye matumiz ya hovyo utapga pesa kwa haraka sana hata kama huna ka ofic uko chin ya mti na ka daftar kako utatafutwa na wajasiriamal kokote utakapo kua
Niunganishe Mimi mkuu ....Niko serious....Kuwa mwanamke kusikutishe tafadhali nataka hiyo kaznenda moro kuna dili za kubeba magunia ya bangi, kila gunia moja ukileta bongo unapata laki, so ukiweza kubeba kumi unamilion moja kwa siku, je kwa mwez utakuwa na kiasia gan......
Nitafanyia kaziTafuta lak 5 anzsha biashara ya kukopesha wajasiriamal apo kwenye soko la mtaan kwenu mkopo anzia 50000 mpka 100000 na marejesho ni ya kila sku.. asume 50000 waje watu 10 tu apo lak 5 imeondoka wafanyie fom zao 3000 tu usitake pesa nying kwa hao watu 10 kwa fom tu utakua umetengeneza 30000 ambayo unaweza kopesha mteja mwngne na rba wafanyie chip tu kua 20% au 15 yan kama akichukua 50000 irud 65000 ndan ya siku 26 inamana kila sku anarudisha 2500 fanya 2500 x10 kwa sku utakua umelaza 25000 ambayo imerud sku moja baada ya kutoa hela kwa mtu kwaio ndan ya sku izo 26 utakua umetengeneza 65000 x 10 =650000 weka na zle ela za fom 30000 itakua 680000 na ukumbuke kila baada ya sku moja ukikusanya ayo marejesho ya 25000 na kesho 25000 unapata 50000 ambayo unaweza kopesha tena mtu mwngne kwaio ukajkuta ndan ya mwez umeanza na 500000 lakn umefkisha ml 1.kdhaa kikubwa kua na roho ngum na uchungu na pesa yako usifanye matumiz ya hovyo utapga pesa kwa haraka sana hata kama huna ka ofic uko chin ya mti na ka daftar kako utatafutwa na wajasiriamal kokote utakapo kua