Sirleh94
Member
- Nov 22, 2018
- 12
- 9
Habari za wakati huu!! Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Engineering in Civil (uhandisi wa ujenzi) mwaka huu kutoka chuo cha DIT. Miaka kadhaa nyuma nilipomaliza elimu ya diploma (2017) nilifanya kazi katika kampuni tofaufi tofauti za ujenzi.
Kwa sasa mara baada ya kutoka chuo nimefikiria kufanya kitu ambacho kitanipa uelekeo wa kuanzisha kampuni itakayohusiana na;
a. Kufanya interior design, decorations na pia land scaping.
b. Ujenzi wa nyumba
Nimeona nililete hili ili nipate mawazo yenu ikiwepo kuniunganisha na watu ama kampuni zinazofanya maswala ya interior design kwa ajili ya kupata uzoefu na kujua kazi zinapatikana na kufanyika vipi. Kwa yeyote mwenye ushauri, mawazo, msaada nawakaribisha.