ni kweli jamani! hali ni mbaya sana! ni mbaya kwa kweli! mimi mfano nilisoma education as ma first degree so nilipata ajira moja kwa moja sasa nimesoma post ya monitoring and evaluation (M&E)! ki ukweli kazi hizi zinatangazwa kila siku na na apply kila siku! sija experience kutafuta kazi you know! sasa ndo naona hali ni mbaya sana! na wapo watu nawajua wameajiriwa kama M&E na wanalipwa vizuri sana na hawakusoma hiyo course! dah! nimejitolea mfano tu wadau! najua kuna wimbi la vijana wasomi kama mm wanatafuta kazi for years! jamani! jamani! hali ni mbaya! ajira hakuna nimeamini sasa! sijui! hii nchi inahitaji maombi ya kuomboleza na kujipaka majivu kama eliya! hahahahah! MUNGU IBARIKI TANZANIA! MUNGU WABARIKI VIJANA WA TANZANIA!