Tusaidianeni juu ya ukweli huu

P.V.Y.

Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
41
Reaction score
3
Jamani Kwa Mtu Kutokwa Na Vijipu Ni Dalili Ya Ugonjwa Gani Wa Zinaa?
 
Hahaha. Kwa nini unahisi ni ugonjwa wa zinaa? Hebu be responsible, nenda hospitali
 
tehee teheee.....una candida mtu wangu..
 
ni mchafuko wa damu tu na hapo ni uchafu umejikusanya ikatokea vijipu,pole lakini usiache kwenda hospital
 
Vijipu ni mchafuko wa damu na ni hali ya kawaida sote tumeisha umwa vijipu. La msingi zaidi nenda hospital ukapime kwanza.
 
unaonekana unawasiwasi sana na afya yako eti ugonjwa gani ya zinaa???? mkuu mbona kama hujionei huruma
 
Zinaa mbaya sana yaani ukiugua kidogo tu mapigo ya moyo yanaongezeka wakati huna Bp yoyote. Nenda kwanza hospital then ondoka kwenye hiyo jela ya zinaa. Utakufa siku si zako.
 
Zinaa mbaya sana yaani ukiugua kidogo tu mapigo ya moyo yanaongezeka wakati huna Bp yoyote. Nenda kwanza hospital then ondoka kwenye hiyo jela ya zinaa. Utakufa siku si zako.

Hahaha bora umemwambia. Usipoenda hospitali basi utaongeza na BP juu kwa kuwaza kuwa maybe ushaukwaa
 
Huyu itakua alichepuka sasa katoka majipu anadhani ashaukwaa....
Sio mkanda wa jeshi huo mkuu?
Natania tu...
 
tehee teheee.....una candida mtu wangu..

mkuu umedanganya amna jipu linalo tokea bila ya ugonjwa kwani kitalamu majpu utokea coz ya bacteria infection aina ya staphyloccocus ambao husababisah majipu..!!! nikirudi kwnye swali amna ugonjwa wa zinaa ambao huleta majipu ila ukipata vitu mithili ya majipu vilivyo vimba mwili huwa ni indicator ya ugonjwa wa leprosy(ukoma) usababishwao na microbabacteria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…