zakaria ramadhani
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 228
- 163
Baba yetu ulie ikulu jinalako liogopwe utumbuaji wako uendelee na maisha yetu yazidi kua magumu, kama yale ya kabla ya uhuru! Utupe leo stahiki zetu ulizotuahidi baba, uwasamehe wasio kupigia kura, kama sisi tu vumilia na kusamehe pia! Usitutie moyo kwa maneno mazuri bali utukuokoe na ugumu wa maisha; kwakua utawala ni wako, mamlaka na nguvu milele na milele,,,,,, wote tuseme amen.