Tusalimiane kikwetu..

Aisee mzee umemwambia "unataka umle",hapo kwenye "umle" weka lile neno gumu lisilioandikika kirahisi.

Ukiwa Tanga ukatamka kauli hiyo wazee wakakusikia kama mtoto mdogo basi adhabu yako haitaelezeka.
Hahaha ngoja nimpandie hewani aliyenifundisha kumbe aliniingiza chaka
 
Hakuna bwana Kibena kigumu aisee.
Ni lugha nyepesi sana. Kusoma na kuandika nilijifunzia bible ya kibena na kitabu cha nyimbo za dini kwa kibena kila siku usiku.
Nimekulia kijijini na lugha kuu ni kibena. Kwa hiyo, zaidi ya masaa 19 unatumia kibena, kwa nini asijue!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…