Gozybusness
Member
- Jul 24, 2022
- 23
- 29
Napenda kuuliza kwann kila Biashara inayo tangazwa umu ina krashiwa
___________________
Watu wengi wamekua wakiwakatisha tamaa wafanya Biashara unakuta mtu anatangaz biashar yake na mtu anakoment kwa miemuko bila kujal kama ile ni kaz ya mtu kuna watu wapo umu ndan kwa ajili ya kukosoa na kukashif Biashara za watu.
Mfanya Biashara mwenzangu usikate tamaa atakae disi Biashara yoko achan nae songa mbele uoga wako ndo umskin wako amin mafanikio yako yatakueshimisha, kuna watu wengne wameumbiwa chuk na choyo.