Tusapotiane kwenye kazi na biashara zetu

Gozybusness

Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
23
Reaction score
29
Napenda kuuliza kwann kila Biashara inayo tangazwa umu ina krashiwa
___________________

Watu wengi wamekua wakiwakatisha tamaa wafanya Biashara unakuta mtu anatangaz biashar yake na mtu anakoment kwa miemuko bila kujal kama ile ni kaz ya mtu kuna watu wapo umu ndan kwa ajili ya kukosoa na kukashif Biashara za watu.

Mfanya Biashara mwenzangu usikate tamaa atakae disi Biashara yoko achan nae songa mbele uoga wako ndo umskin wako amin mafanikio yako yatakueshimisha, kuna watu wengne wameumbiwa chuk na choyo.
 
Asante. Mimi nauza viwanja VIKINDU

Kuna ofa ya muda mfupi ya viwanja kwa ๐‹๐€๐Š๐ˆ N๐€NE ๐ญ๐ฎ.

Viko ๐•๐ˆ๐Š๐ˆ๐๐ƒ๐”

Kama unatarajia kuanza ujenzi , ni vyema kununua kiwanja mapema itakusukuma kuanza ujenzi.

Viwanja kila siku Dar es Salaam vinapanda bei, leo unapopadharau kesho ni mji mkubwa na bei hazishikiki.

Sasa kuna hivi viwanja vya Vikindu, Vikindu iko mbele ya Mbagala na ni kabla ya kisemvule na usafiri upo wa moja kwa moja kutokea Kariakoo, Mbagala, Posta, kivukoni, Nk. Panafikika

Viwanja ni ๐‹๐€๐Š๐ˆ N๐€NE ๐ญ๐ฎ vya futi 50/40.

Pamejengeka tayari, shule, umeme, maji vipo.

Njoo upate kulingana na urefu wa kamba yako unaweza kuchukua zaidi ya kimoja.

Ofa ya muda hii. Mauziano serikali ya mtaa Document safi.

Njoo ulipie.

Tuwasiliane 0623961223
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ