Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
Pamoja mkuuuWakuu tupeaneni support kwenye biashara zetu.
Natengeneza matangazo kwaajili ya biashara yako, karibu nikutengenezee.
Pia kama kuna deal yeyote tushirikishane wakuu tusitengane [emoji119]
Ukweli mtupu,Comment yako iwekewe laminationWhat I know human being is selfish creature the same like how you see animals fighting for food and sex. Yaani tofauti yetu na wanyama Ni ndogo mno yaani mno.
Mana Mambo mengi ndge wanyama and trees wanafanya the same na binadamu.
Binadamu analalamika Ila ndege ama tiger hajawahi lalamika kuwinda kuwa leo Hali Ni mbaya sikakamata.
Crocodile waits patiently for the prey to come sema sie no patience.
Pia once we do something tunatangaza tunajaribu kuonyesha how clever we're.
Kama kujenga hata ndege anajenga sema sie ukijenga lazima ujitangaze ili ujulikane ama uonwe. Wao is part of their life.
Kama Ni struggle zako kuwa rewarded hata kuku anatunza vifaranga anawatafutia chakula wakishakuwa wakubwa anawafukuza ili wajitgemee Tena kwa ukatili mkubwa ili wa adapt behavior ya kujitafutia kuliko kuwa tegemezi.
When you win do in silence since you never hear lion roar after kill.
Nakuombea upate wateja bana Ila binadamu shida mno Tena sema Kama hawa masikini wa ulimwengu wa tatu Ni shida na ndio Mana wajanja na ma Hustler wachache wanasepa hizi nchi. Elon musk mwenyewe alisepa afrika mie Ni nani.
Watu hatupeani sapoti Bali kukatishana tamaa uanguke mie ndio ahueni kwangu.
Kweli nimekuelewa nitajaribu kuendelea kupambanaWhat I know human being is selfish creature the same like how you see animals fighting for food and sex. Yaani tofauti yetu na wanyama Ni ndogo mno yaani mno.