Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Nakumbuka awamu ya tano lilikuwa likifanyika jambo lililogusa watu wengi mapadri, mashehe na maaskofu walijitokeza kulaani, leo wapo wapi?wamejificha wapi ingali bado tunawahitaji?
Leo kila kona watumishi wa Umma wanalalamika juu ya ongezeko la mishahara lakini wapo kimya, nini kimewakumbuka?
Je, ni kwamba nao Sasa wanalamba asali? Sikatai asali ni tamu lakini siamini Kama nao sasa wanalamba.
Jitokezeni muwafariji watumishi wa Umma, mioyo yao imejaa sononeko na maumivu makubwa ninyi ndio faraja yao Sasa ambako wanaona giza kwa Mungu amewatumeni kwetu na kwao.
Mungu awabariki nyote