Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Mliwapa mpaka kesi za uraia fake Leo unawatafuta? Wanhehamishiwa Burundi mlikotaka waende mngekuwa mnahoji kina nani?Nakumbuka awamu ya tano lilikuwa likifanyika jambo lililogusa watu wengi mapadri, mashehe na maaskofu walijitokeza kulaani, leo wapo wapi?wamejificha wapi ingali bado tunawahitaji?
Leo kila kona watumishi wa Umma wanalalamika juu ya ongezeko la mishahara lakini wapo kimya, nini kimewakumbuka?
Je, ni kwamba nao Sasa wanalamba asali? Sikatai asali ni tamu lakini siamini Kama nao sasa wanalamba.
Jitokezeni muwafariji watumishi wa Umma, mioyo yao imejaa sononeko na maumivu makubwa ninyi ndio faraja yao Sasa ambako wanaona giza kwa Mungu amewatumeni kwetu na kwao.
Mungu awabariki nyote
Hakuna unachokijua. Hujui kuwa ongezeko la mishahara lina uhusiano na ukubwa wa Zaka na Sadaka?Yani viongozi wa dini walalamikie salary za wafanyakazi? Haupo serious
Sadaka na Zaka zikiwa ndogo tutawasikia wakiongea. Nakumbuka kipindi Cha Korona watumishi wa Mungu walikuwa wanalia Sana ukata na wakawa wanahubiri Serikali kutofungia watu ndaniHakuna unachokijua. Hujui kuwa ongezeko la mishahara lina uhusiano na ukubwa wa Zaka na Sadaka?
Acheni kazi mjiajiri, kwani mmeshikiwa bunduki?Hakuna unachokijua. Hujui kuwa ongezeko la mishahara lina uhusiano na ukubwa wa Zaka na Sadaka?
Guys tumeclewa sana. Huyu raisi atatufikisha mbali tunataka mafiga matatu ( lemutz, )Nakumbuka awamu ya tano lilikuwa likifanyika jambo lililogusa watu wengi mapadri, mashehe na maaskofu walijitokeza kulaani, leo wapo wapi?wamejificha wapi ingali bado tunawahitaji?
Leo kila kona watumishi wa Umma wanalalamika juu ya ongezeko la mishahara lakini wapo kimya, nini kimewakumbuka?
Je, ni kwamba nao Sasa wanalamba asali? Sikatai asali ni tamu lakini siamini Kama nao sasa wanalamba.
Jitokezeni muwafariji watumishi wa Umma, mioyo yao imejaa sononeko na maumivu makubwa ninyi ndio faraja yao Sasa ambako wanaona giza kwa Mungu amewatumeni kwetu na kwao.
Mungu awabariki nyote
Mashehe pia?Nakumbuka awamu ya tano lilikuwa likifanyika jambo lililogusa watu wengi mapadri, mashehe na maaskofu walijitokeza kulaani, leo wapo wapi?wamejificha wapi ingali bado tunawahitaji?
Leo kila kona watumishi wa Umma wanalalamika juu ya ongezeko la mishahara lakini wapo kimya, nini kimewakumbuka?
Je, ni kwamba nao Sasa wanalamba asali? Sikatai asali ni tamu lakini siamini Kama nao sasa wanalamba.
Jitokezeni muwafariji watumishi wa Umma, mioyo yao imejaa sononeko na maumivu makubwa ninyi ndio faraja yao Sasa ambako wanaona giza kwa Mungu amewatumeni kwetu na kwao.
Mungu awabariki nyote
Si mlisema wanachanganya dini na siasa na wengine mkawa manawateka? Sasa wamejikalia kimya tena mnawalaum?Nakumbuka awamu ya tano lilikuwa likifanyika jambo lililogusa watu wengi mapadri, mashehe na maaskofu walijitokeza kulaani, leo wapo wapi?wamejificha wapi ingali bado tunawahitaji?
Leo kila kona watumishi wa Umma wanalalamika juu ya ongezeko la mishahara lakini wapo kimya, nini kimewakumbuka?
Je, ni kwamba nao Sasa wanalamba asali? Sikatai asali ni tamu lakini siamini Kama nao sasa wanalamba.
Jitokezeni muwafariji watumishi wa Umma, mioyo yao imejaa sononeko na maumivu makubwa ninyi ndio faraja yao Sasa ambako wanaona giza kwa Mungu amewatumeni kwetu na kwao.
Mungu awabariki nyote
Nakumbuka awamu ya tano lilikuwa likifanyika jambo lililogusa watu wengi mapadri, mashehe na maaskofu walijitokeza kulaani, leo wapo wapi?wamejificha wapi ingali bado tunawahitaji?
Leo kila kona watumishi wa Umma wanalalamika juu ya ongezeko la mishahara lakini wapo kimya, nini kimewakumbuka?
Je, ni kwamba nao Sasa wanalamba asali? Sikatai asali ni tamu lakini siamini Kama nao sasa wanalamba.
Jitokezeni muwafariji watumishi wa Umma, mioyo yao imejaa sononeko na maumivu makubwa ninyi ndio faraja yao Sasa ambako wanaona giza kwa Mungu amewatumeni kwetu na kwao.
Mungu awabariki nyote
Gwajima wa pilau yupo?Hao watumishi wa Mungu walikuwa wanapambana na shetani wakati huo wa awamu ya tano.