Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Aisee mbona mdomo mdogo ila anabugia hvyo
Usiangalie mdomo angalia utamu watu wanaofuata Mila za kiarabu wanaoukosaAisee mbona mdomo mdogo ila anabugia hvyo
Hawakosi chochote ni sawa na kumuona mtu asiyekunywa pombe hai enjoy maisha. Wakati na yeye anakuona unavyokosa utamu wa mirinda nyeusi hu enjoy maisha...Usiangalie mdomo angalia utamu watu wanaofuata Mila za kiarabu wanaoukosa
Kisa dini za kuletewa utakua hujielewiHapo wengine tutalazimika kula mbogambogq, samaki na kuku
Dini ni imani, imani ni utamaduni...Kisa dini za kuletewa utakua hujielewi
Wewe jamaa unatafuta ugomvi na wala ngamiaUnlike other species like camels, nguruwe in 8 months yuko tayari kuliwa. Hali hii humfanya kuwa most suitable to feed the highly growing human population. By the way, more than 70% ya mboga inayoliwa duniani ni nguruwe.
Hichi kitu, niliwai kusikia Mahali , kuwa nguruwe alitokana na binadamu wakati wa safinaKwenu wala kitimoto, mjue kula nguluwe, mna wala babu na bibi zenu..
My point was kuonesha umuhimu wa nguruwe kwa maisha ya binadamu kulinganisha na jamii nyingine za wanyama. By the way, nguruwe anastawi mazingira almost yote that's why ameenea duniani kote.Wewe jamaa unatafuta ugomvi na wala ngamia
Mkuu ukipata Muda lete story ya kilichotokea kwenye safina juu ya nguruweKwenu wala kitimoto, mjue kula nguluwe, mna wala babu na bibi zenu..
Mkuu tembelea kijiwe chochote cha draft au ghahawa hizo story utazipata.Mkuu ukipata Muda lete story ya kilichotokea kwenye safina juu ya nguruwe