Tuseme ukweli: Show ya Burna Boy( NYC) imejazwa na wanaija

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681

Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali..

Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao..

hata ukisikia sauti za back ground wanao sing along na Burna Boy kwenye hiyo show yake unasikia lafudhi za kinaija.

# siku hizi ukitoa maoni yako unaitwa hater
 
Waimbaji wa backup wa burna boy ni walewale anatembea nao kila sehemu tena ni band kabisa inaitwa THE OUTSIDERS ni wanaija wenzake
 
Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali..

Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao..

hata ukisikia sauti za back ground wanao sing along na Burna Boy kwenye hiyo show yake unasikia lafudhi za kinaija.

# siku hizi ukitoa maoni yako unaitwa hater

Kuna shida gani, kaandaa show, kaweka bei, watu wamejaa, kaja nani who cares? Malengo yake yametimia.
 
Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali..

Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao..

hata ukisikia sauti za back ground wanao sing along na Burna Boy kwenye hiyo show yake unasikia lafudhi za kinaija.

# siku hizi ukitoa maoni yako unaitwa hater

Ulikuwepo kwenye show au na ww umeishia kusimuliwa tu kama unavyotusimulia umu??.
 
Kwani diamond hajawahi kujaza hapo, si hata harmonize majuzi alikua huko nae alijaza au?
 
Kwa unafiki wa wabongo na ujuaji hata kama tungekuwa tupo wengi kila nchi, na imetokea Diamond ana show bado tungemkwamisha. Wapopo wamefanikiwa saana kwenye maslahi ya Taifa lao kwanza, tubalance shobo kwa kusema Burnaboy anawakilisha Afrika, kwanza kabisa amefanikiwa yeye kukanyaga ulimwengu wake na kufanya aina ya muziki wake ambao hata Japan anajaza kiwanja hata North Korea.

Alafu sasa Naija ndiyo inafuata, wapopo hawashindani wao kwa wao wanashindana na Dunia. Na ndiyo maana ukiwa majuu unaweza ukawa na urafiki na mpopo miaka mingi lakini mpopo akikutana na mpopo mwenzake wanaongea lugha.

Sisi ndiyo kwanza tunashindana sisi kwa sisi tunawaacha wasanii wawili washindane na wapopo ili hali Amapiano ndiyo aina ya muziki wetu!!! Tunamfaatilia Burna Boy lakini Naija kila artist anafanya vizuri.
 
Kwaakili Yako ndogo

Ulitaka wao ndo wasafiri kwenda naijeria kwenye show

Ulitaka wajae wamarekani wanamjua huyo
 
Kwani hao wanaija wameingia bure? Kinacho takiwa PESA.
 
Kwa hiyo ulitaka show ijazwe na nani? Burna kwa sasa yuko mbali mnoo usijaribu hata kumlinganisha na wasaniii wetu.
 
Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali..

Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao..

hata ukisikia sauti za back ground wanao sing along na Burna Boy kwenye hiyo show yake unasikia lafudhi za kinaija.

# siku hizi ukitoa maoni yako unaitwa hater

Uwanja mzima ulikua black tupu au sio [emoji23]
 
Back
Top Bottom