chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Siwezi kushangaa waziri mkuu akilalamika kuwa serikali kupitia mfumo wa kukusanya malipo wapigaji wakiwa wengi mpaka wengine kupelekwa mahakamani.
Siwezi shangaa kuona TRA,bandari na mifumo ya kodi kuwa pamoja mpaka kuwa na wimbi la kujaza makaratasi ya kutunza risiti ambayo yanatambulisha mauzo au manunuzi ili ukadiliwe kodi.
Siwezi shangaa mfumo ambao ikitangazwa ajira au chochote ni kama server za serikali zimeongeza volt kwenye pasi kwenye konyosha nguo.
Siwezi shangaa kuona mifumo mingi ambayo hakuna ushirikiano wa data mfano nikifika Uhamiaji kama na kitambulisho siulizwi au nikifika kwenye mifumo ambayo taarifa zinataka kurudia zipo sehemu moja.
Siwezi shangaa kuona mfumo wa nchi kuwa sensa ya wapiga kura ambao baada ya kutumia nguvu sana wizi wakati vifaa vya kudai tozo za TRA na ushuru wa serikali vinafanya kazi mpaka maporini kushindwa kuwa vifaa vya kupiga kura mubashara.
Siwezi shangaa mfumo wa uzibiti wa mpaka sasa japo kuwa na bajeti ya vifaa za vifaa kufungwa taasisi lakini masajala ya makaratasi ndio kipaumbele japo inaitajika.
Haya ndio yanayo fanya hata wasio julikana wasijulikane sababu hakuna taarifa za mtu zitakazo kuwa free mfano unaweza kumiliki silahaa wakati taarifa zako zote kuanzia taasisi zote zimethibitisha kwenye mfumo.