Nimekaa mda mrefu na kutochangia JF.Ila leo shauku limenifika.
Hivi tanzania ya leo tuseme usalama,JwTZ,TCRA na wengine au vinara wazuri wa CCM ambao jeshi la polisi wanajitafakari kweli.
Mfano leo tunaona ushambulizi wa vita vya iran na Israel hivi hawa watu wanajua lolote zaidi ya kusema raisi wao mpaka mafuta usd 800 na kwa kingereza who are you D ya mipasho ndio kafanikiwa.
Siku ikitokea nchi imeshindwa na kuanguka mtasema wananchi au kulinda chama.
Mimi sitaki kufunguka sana ila CCM bado mnazuia JF.
Nawaeleza kuwa Hitman washawasili TZ kama mlikuwa mnaona movie.Mtamalizana wenyewe.
Haya nayosema sio mnaona kenya watu wanapelekwa urusi kupigana vita.
CCM kuweni tayari na CCM yenu mtamalizina na mtashindwa kuelewa kawamaliza nani wakati mnaidara zote.
Kufika 2026 list ni nyingi.Hello