Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dr. Magufuli.
Dr Tulia ni msomi, energetic,determined,focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa.
Ikitokea Dr. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia wana Mbeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.