Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
😂😂😂Itakua hio 9 imekua 6 inarudi nyuma kama miradi yawanarumumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakua hio 9 imekua 6 inarudi nyuma kama miradi yawanarumumba
Sasa hivi inabidi uwe na kazi mbiliKiukwel kwa msimu huu nyimbo za WCB ni kero,hakuna hitsong ya maana , labda misimu iliyopita angalau, nyimbo nyingi ni substandard lakn ndo zinapigwa mtaani, yaan ni vurugu, sa hv ni inama inama kila sehemu,
Wimbo wa Chibonge ulitakiwa utambae sana lakn umezimwa na hawa wahuni wa Tandale, kama wanatumia kizizi, bas hawa WCB wana kizizi kimoja cha Hatar,
Daaah nilikua nachek ngoma zake ni bora sana uyu jamaa sijui kakwama wapi,Nilitaka nikuteke wee kumbe ni take away.
kweli dingi jamaa ni mkali aseeDaaah nilikua nachek ngoma zake ni bora sana uyu jamaa sijui kakwama wapi,Nilitaka nikuteke wee kumbe ni take away.
unahish kilichomkwamisha belle ni kipi hapo kati ya ulivyotaja?Kuna mziki kazi na mziki biashara
hahaha mkuu mimi hapa naskiliza belle 9 sumu ya penzi,ngoma imetulia sana alikiba naye siku hizi michoshoAli kiba naye sijui anakwama nini..... huyu fala diamond anaimba matusi halafu anaonekana bonge la msanii.... MIMI NASIKILIZAGA BOLINGO TU REGGAE.
labda hata belle mwenyewe anajiuliza anakwama wapi?Na mimi nilijiuliza swali kama hili.
Mnyamwezi Belle9 namkubali, ila basi tu ujue tushazoea siasa za chama kimoja wakija wengine wanaonekana wazushi.
Kwenye Burger Movie Selfie watu wameflow vizuri, very creative.
Fiesta ya kwanza kabisa mond na bele ilikuwa jamhur moro pale ndo bele alkkosea sana ile show na kufanya mond aaminike zaid kuliko yeyeWadau miaka ya kati hapa huyu belle 9 alikuwa ni anakuja vizuri mnoo yeye na diamond..
Ila sijui kilimpata nini diamond akampita ndo mpaka leo iko hivi yaani sasa hivi belle akitoa ngoma haishtui Kama zamani..
Nyimbo zake kama nilipe nisepe, masogange, amerudi, listen, na hii nyimbo yake ya kwanza na Kali kuliko zote sumu ya penzi, na burger movie and selfie
Je alikosea wapi huyu jamaa tusemezane..
Mondi kafika mbali sana...!! Bongo ni WCB tu...Fiesta ya kwanza kabisa mond na bele ilikuwa jamhur moro pale ndo bele alkkosea sana ile show na kufanya mond aaminike zaid kuliko yeye
ina maana belle 9 alitukbna mamba kabla hajavuka mto mkuu?Wasanii wa bongo hawajui kula na vipofu ndicho kinachowaponza.
Mchoyo hana rafiki. Hizi methali zina maana kubwa sana kwenye maisha.
Muziki haufiki mbali kama utajiona umeshakua mkubwa kuwazidi wenye industry.
Ndio mond na ujanja wote hawezi mtupa fella na Tale.
Jiulize kwanini
Kumbe Daah Belle Ali Performe Chini Ya Kiwango Sio!Fiesta ya kwanza kabisa mond na bele ilikuwa jamhur moro pale ndo bele alkkosea sana ile show na kufanya mond aaminike zaid kuliko yeye
ina maana belle 9 alitukbna mamba kabla hajavuka mto mkuu?