Tusemezane: Belle 9 anakwama/alikwama wapi?

Belle na mavoko kinachowasumbua ni uvivu tu kama belle sasa anatoa nyimbo mpaka ajisikie sio kama kipindi kile ilikuw bampa to bampa
 
Belle 9 alikubalika sana , kosa alilofanya ni kukosa ubunifu wa kumaintain ile brand yake, hawa watoto wa WCB hilo wanaliweza kweli kweli
 
Unawaonea clouds
radio ya watu
the people's station
 
Duuuh Hata Mimi Najiuliza Mkali 9 sijui Yuko Wapi
 
Nyimbo za Belle 9 za mwisho kuzipenda ni Maole ft G-Nako, Kichaka ft Saida karoli & G-nako na Take Away... Nyimbo nazikubali sana hizi.
 
Sio mubinifu wakati wengine hawachoki namafanikio yeye amelewa sifa akafikiria muziki utamtafuta yeye sasa henoheno yeyekapotezwa na muziki .. ata marehem masogange amejulikana kuliko yeye .
 
Wewe unatafuta kitu sisi watu wa kaskazini tunajituma sana na tu wanyeyekevu ili tufikie malengo yetu. Huwezi kuletea dharau platform inayokusanya mashabiki wako. Hivi kuwa mpole kama Maua Samar, G Nako, Nandy, Malkia Karen, Bilnass, Weusi, Aika na Nareel etc etc unapungukiwa nini?

Yaani unawavimbia kisa umeambiwa flani na flani ni maadui ndo maana mnafeli
 
Msanii hapo ni Maua Sama tu kdogo na Navy kenzo +Nako..wngne ni promo , trust me
 
Huyu jamaa nilikuwa namkubali sana na nyimbo zake za zamani kama wanitamani, nilipe nisepe, na nyingine nyingi tu. Siku hizi anatoa nyimbo lakini hata viewers laki tano hazifikishi.
Kweli kila zama na mkali wake.
 
Tunamshukuru Belle 9 kwa kutuletea Masogange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…