TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?


Unatjichanganya, mara turudi eden, mara tutumie dawa zenye vipimo! Umelewa nini?
 
Si lazima Aloevera, kuna madawa kama Atermisia, tangawizi, limao, ndimu, vitunguu swaumu n.k

Hata majani mabichi ya bhange ni dawa ya sikio linalotoka usaha, this is fo sho. Chai ya rangi ukiiweka limau ni dawa ya mafua na kikohozi, pia pumzi kubana.
Ala?
 
Joh:3:16: For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

Joh:15:7: If ye abide in me, and my words abide in you, ye shall ask what ye will, and it shall be done unto you.
 
Yohana 15:7 Ninyi mkikaa ndani yangu na neno langu likikaa ndani yenu, ombeni lolote mtakalo nanyi mtatendewa.
 
Kwangu mimi, Kipaumbele cha kwanza ni KAZI.Baada ya hapo nitaweza kukidhi yanayofuata kama vile1. Msosi wa familia 2.watoto waende shule3.mahali pa kulala4.niiburudishe nafsi yangu na ya mke wangu na wote wanaohusika kwa namna moja au nyingine na burudani.5.afya ni ya mwisho. (sometimes afya ni athari za kisaikolojia, ukiona kwamba ukila chakula kisichokuwa cha moto utaumwa tumbo, itakutokea kweli)
 

sema wa2 wengi ha2na afya nzuri.
 
sema wa2 wengi ha2na afya nzuri.

afya ni jambo la msingi sana lakini kwa maisha ya sasa bila chapaa afya yako haina maana ndo maana wengi wameamua kujikita zaidi katika kazi kiliko mambo mengine kabisa
 
Hata majani mabichi ya bhange ni dawa ya sikio linalotoka usaha, this is fo sho. Chai ya rangi ukiiweka limau ni dawa ya mafua na kikohozi, pia pumzi kubana.
Ala?
sawa kabsa limao ni kinga na dawa nzuri ya mafua mimi nimesahau vidonge.
 
Ujanja ujanja tu. Nguvu shamba mjini akili, tunafahamu maisha ya hao wanaojiita tiba mbadala (baadhi wametajwa hapo juu) maisha yao yalivyokuwa na hii leo wanatembelea makalio (mashangingi) ya milioni mia kwenda juu. Kwenye TV wakijinadi wapo kusaidia watu nyuma ya pazia dozi ya bei ya chini laki moja, na hiyo dozi yenyewe si kamili ukitaka dozi kamili utakoma!
 

basi tuambie tujenge tabia ya kuchunguza afya badala ya kututaka tuje kwa clinic yenu.
 

Hivi mnajua matatizo mengi yanayotesa wengi yanasababishwa na wao wenyewe kutokana na lyf style zao...? Angalia wa TZ walivyo na mitazamo ya ajabu... Wengi wanafkiri unene ndio afya nzuri huku wakisahau madhara ya unene na wakiweka elimu zao na mazoezi kapuni. mfano Angalia graduates wengi..wanamaliza vyuo wakiwa na miili slim, iliyo fit ila utashangaa mtu kapata kakibarua\kazi baada ya miezi 6 ukimwona utafkiri ni wawili wameunganishwa. Wanafungulia kila kitu hasa artificials...mwisho wa siku mpe miaka kati ya 3-10 baada ya shule utaanza kuskia ripoti za BP, miguu kuuma, kuhema kwa shida, bila kusahau mzigo wa matibabu ktk familia, kipato kushuka, n.k Mi nakumbuka nilifundishwa kuwa OBESITY na KWASHAKOO vyote ni MALNUTRITIONAL disorders. Watu tujitahidi kuchagua staili nzuri za maisha ili kuepuka matatizo yanayoweza kuepukika, na tuweze kuongeza kipato:spy:
 
You arevery right!...Majority ya clinic plus Hospital are after money..yaani unampeleka mtu mgonjwa hospitali like totally in critical condition badala ya kumtibia they ask you for monnie first who does that...anza kumtibia mgonjwa then ask for monnie later!...Basically hospital/clinic their all about business and not the life saving of the human being!....rudiculously crazy!

Clinic nyingi sasa hivi mpo after money sana,
Naweza kuja hapo kwako kwa check up tu ukanichaji LAKI,
Na tiba yenyewe inakua ya kisani sanii sana.
Karibu kwangu nikupe dozi ya Alovera ni kiboko.
 
Binti Maringo You are very right Nigerian girl.
 
Last edited by a moderator:
Every dayz as comez the mony are become better than utu thuz y wadada wanauza mili il wapate coz pesa ina thaman
 
alternative medicine ni supplementary medicine.

Sio kweli! Ni "alternative", yaani, mbadala. Mbadala wa nini? Mbadala wa madawa yote mengine ambayo yanatengenezwa viwandani, na pia, mbinu zake za utabibu ni tofauti. Dawa asilia, zitokanazo na mimea (majani, magamba na mizizi) ni mojawapo ya dawa mbadala.

Supplementary medicine si dawa; ni vitu ambavyo ni nyongeza, yaani vinachochea au kusaidia tiba endelevu pale inapotumika, kama vile vitu vinavyosaidia chakula kufanya kazi yake kwa ufanisi zaidi (GNLD, Forever Livining, TIENS, Ardyss, n.k.).

Nadhani umeelewa.
 
Juma la jana nilienda hosp. moja maarufu tu hapa bongo kwa ajili ya kuangalia afya yangu.
nilipoingia kwa daktari akanielekeza nikafanye ulra sound, kufika kwenye ile section wakaniambia ninywe maji lita moja na nusu kuanzia saa tano na nusu na nitakapojisikia nina haja ndogo ndo nirudi kwa daktari, kweli nikatoka kidogo nje nikanunua maji nikayanywa, baada ya lisaa limoja kweli nikwa nasikia haja ndogo na nikawaendea, la ajabu niliambiwa subiri hapo nje, hadi kufikia saa saba na nusu ikabidi kwa kweli niende toilet. eti saa nane kasoro ndo wananiita na jibu ni kuwa huwezi kupimwa kwa kuwa mkojo hakuna tena. Hivi kweli naweza kurudi tena mimi hosp. ili nikachek afya yangu.


kwa maneno mengine hosp. mnakatisha tamaa, ndo maana tunawaachia wale walio wagonjwa zaidi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…