Tusemezane.

Pole yake...cndm zilishanishinda toka mwaka 2000...nilivaa dudu ikagoma kusimama kbs nikasema haya mambo sitajihusisha nayo tena kwanza Mungu hapendi
HAHAAAA
JASHO LILIKUTOKA ..MANINA HAHAAA
 
On a scale of 1 - 10, matumizi yako ya condom/kinga yakoje?
nilikuwa cjapita kutoa Baraka zangu huku """
lakini kuhusu hiyo scale mimi hainihusu maaana mpaka leo hii sijawahi kufnya matusi "" dushe nimeamua kumtunzia mke wangu mtarajiwa ""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…